BBC News Swahili
BBC News Swahili
  • 6 272
  • 71 344 502
'Mwanume mpaka kufika hatua ya kupata tiba ni hajajipeleka mwenyewe'
Mwezi June kila mwaka dunia hutumiwa katika uelimishaji wa masuala ya afya ya akili kwa wanaume.
Hii ni kutokana na tafiti mbalimbali za kiafya kubaini kwamba kuna utofauti wa mazingira na kuhimili matokeo ya changamoto ya afya ya akili kati ya mwanaume na mwanamke.
Mwandishi wa BBC @mubalileonard amezungumza na @michaelbaruti na mwanasaikolojia tiba @nadiaahmedtz kuhusu changamoto za afya ya akili kwa wanaume.
#bbcswahili #wanaume #tanzania
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili ua-cam.com/channels/oerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw.html
Переглядів: 319

Відео

BBC News Swahili
Переглядів 5784 години тому
“Nilikuwa naambiwa waziwazi, msichana gani huyu? atashindana na serikali? Jamii imekaa na ndoa za utotoni muda wote huo, wewe ndiye utabadilisha? Nani atamuoa binti huyu” - Rebeca Gyumi @rebecagyumi ni mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji katika taasisi ya @msichanainitiative, aliteka vyombo vya habari mwaka 2016 baada ya kufungua kesi dhidi ya serikali ya Tanzania akipinga sheria ya ndoa inavyor...
'Niliacha muziki nikaingia kwasababu ya dawa za kulevya'
Переглядів 4007 годин тому
Wakati Dunia ikiadhimisha siku ya kupambana na dawa za kulevya Juni 26, Umoja wa mataifa unasema zaidi ya asilimia 70 ya waliopata tiba ni vijana chini ya umri wa miaka 35. Jacob Yona, maarufu kama Jaco B ambaye aliwahi kuwa masanii wa kundi maarufu la wasanii jiji Arusha Tanzania la WATENGWA. Alianguka kwenye uraibu wa dawa za kulevya kwa miaka 12 na kusababisha kupoteza mwelekeo na kuachana n...
Maafisa wa jeshi na polisi washika doria Nairobi, Kenya
Переглядів 3,7 тис.9 годин тому
Baadhi ya waandamanaji walijaribu kufika katikati mwa jiji la Nairobi nchini Kenya lakini wengi wamezuiwa na polisi. Mafisa wa kijeshi pia wanapiga doria kwa magari na kwa miguu Nairobi. #bbcswahili #kenya #maadamano Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili ua-cam.com/channels/oerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw.html
MATANGAZO YA DIRA YA DUNIA 25:06:24
Переглядів 9 тис.14 годин тому
HII LEO KATIKA DIRA YA DUNIA 01:19 MAANDAMANO KENYA 05:01 WATU KADHA WAUAWA 13:48 MZOZO KATI YA SOMALIA NA ETHIOPIA Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili ua-cam.com/channels/oerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw.html
Serikali ya Tanzania yafikia makubaliano na wafanyabiashara.
Переглядів 17 тис.14 годин тому
Hata baada ya jana serikali kutangaza kufikia makubaliano na wafanyabiashara, taarifa kutoka baadhi ya maeneo hapa Dar es Salaam na mikoa kama Mbeya na Mwanza zinasema wafanyabiashara wamendelea na mgomo. Mwandishi wa BBC Sammy Awami alizungumza na Katibu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Dar es Salaam Riziki Ngaga kupata undani wa madai yao. #bbcswahili #tanzania #kariakoo Subscribe kupata video m...
'Nililala na kuamka nikaamua naacha kuimba'
Переглядів 70916 годин тому
'Nililala na kuamka nikaamua naacha kuimba'
Mamia walifariki dunia wakati wa Ibada ya Hajj kwa sababu ya joto
Переглядів 1,7 тис.21 годину тому
Mamia walifariki dunia wakati wa Ibada ya Hajj kwa sababu ya joto
Vuruga chakula maarufu kaskazini mwa Tanzania
Переглядів 954День тому
Vuruga chakula maarufu kaskazini mwa Tanzania
Mikakati ya ulinzi kwa watu wenye ualbino Tanzania
Переглядів 340День тому
Mikakati ya ulinzi kwa watu wenye ualbino Tanzania
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
Переглядів 43 тис.День тому
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
'Mitandaoni wanatazama urembo badala ya kazi yangu'
Переглядів 661День тому
'Mitandaoni wanatazama urembo badala ya kazi yangu'
‘Wanawake wakiwezeshwa wanaweza, naona tutoke katika hizi kauli sasa.'
‘Wanawake wakiwezeshwa wanaweza, naona tutoke katika hizi kauli sasa.'
Siku ya Kimataifa ya michezo ya kwanza kuadhimishwa
Переглядів 42014 днів тому
Siku ya Kimataifa ya michezo ya kwanza kuadhimishwa
Utumikishwaji wa watoto Afrika
Переглядів 41414 днів тому
Utumikishwaji wa watoto Afrika
"Sijawahi kutoa wimbo mkubwa kama huu "
Переглядів 91314 днів тому
"Sijawahi kutoa wimbo mkubwa kama huu "
Kukua kwa Tasnia ya uchekeshaji Tanzania
Переглядів 60414 днів тому
Kukua kwa Tasnia ya uchekeshaji Tanzania
'Mnashuhudia ninavyotukanwa'
Переглядів 2,1 тис.14 днів тому
'Mnashuhudia ninavyotukanwa'
BBC Africa Eye : Vita iliyosahaulika Sudan
Переглядів 2,5 тис.21 день тому
BBC Africa Eye : Vita iliyosahaulika Sudan
'Ndani ya saa sita za kuwasiliana, mwanangu alijiua'
Переглядів 50721 день тому
'Ndani ya saa sita za kuwasiliana, mwanangu alijiua'
Changamoto ya vituo vya gesi katika vyombo vya moto
Переглядів 42721 день тому
Changamoto ya vituo vya gesi katika vyombo vya moto
Je makubaliano ya Korea Kusini na Afrika yana manufaa gani kwa Afrika?
Переглядів 71221 день тому
Je makubaliano ya Korea Kusini na Afrika yana manufaa gani kwa Afrika?
Mwanamke anayezamia kupandikiza matumbawe baharini
Переглядів 6 тис.21 день тому
Mwanamke anayezamia kupandikiza matumbawe baharini
Mwaka mmoja wa Dira TV Dunia Nairobi
Переглядів 96021 день тому
Mwaka mmoja wa Dira TV Dunia Nairobi
Urafiki na bundi.
Переглядів 47828 днів тому
Urafiki na bundi.
Je Afrika kugawanyika hivi karibuni?
Переглядів 2 тис.28 днів тому
Je Afrika kugawanyika hivi karibuni?
'Ligi hii ni kama NBA, si mpira tu kuna muziki, mitindo, tamaduni, watu maarufu'
Переглядів 516Місяць тому
'Ligi hii ni kama NBA, si mpira tu kuna muziki, mitindo, tamaduni, watu maarufu'
Athari za bunduki haramu nchini Kenya.
Переглядів 1,1 тис.Місяць тому
Athari za bunduki haramu nchini Kenya.
Kwanini Uchaguzi wa Afrika Kusini 2024 ni muhimu kuliko zilizopita
Переглядів 1,3 тис.Місяць тому
Kwanini Uchaguzi wa Afrika Kusini 2024 ni muhimu kuliko zilizopita
Simulizi ya mama anayepambana kumuokoa kijana wake kunyongwa Saudi Arabia
Переглядів 258Місяць тому
Simulizi ya mama anayepambana kumuokoa kijana wake kunyongwa Saudi Arabia

КОМЕНТАРІ

  • @user-cf5eb9yf7r
    @user-cf5eb9yf7r 8 хвилин тому

    H

  • @peternboss5561
    @peternboss5561 26 хвилин тому

    Asante sana mzanganusi .

  • @user-sr1uy4zl4z
    @user-sr1uy4zl4z Годину тому

    huyu mchambuzi wa masuala ya kenya ni mtu hodari sana na anafahamu vizuri kinachoendelea kenya mmemuhoji mtu sahihi ni mtaalamu kweli

  • @esthermtinangi7776
    @esthermtinangi7776 Годину тому

    Nakukubali Sana bro

  • @Hussein-gx4qu
    @Hussein-gx4qu 2 години тому

    Kwa Nini wauawe

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 2 години тому

    Hii kukamata et me n mhanga x2 walimkata kuanzia saa 8 saa,1n wanakiburi kuliko Firaun Farao,hao TRA,ck ingene wakanipeleka TRA kidongo chekundu Bandarini nikawambia twendeni mahakani et risiti haitoshi,wa congo,w Zambia, Malawi,msumbiji Burundi Rwanda,wamekimbilia Mombasa, Tatizo shule Tz haya wanapataje mapato watu wamekimbilia Mombasa na Uganda,ujinga,kiburi

  • @YusufuNahimana
    @YusufuNahimana 2 години тому

    Nikonafatiliya napatafaida

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 6 годин тому

    Kuja miji2 inajua kuiba kipaji cha m2,pole Eliud hill mbwamuoxo alivoiba kipaji chako,hadi Mungu akaingilia kati.

  • @JumanneShambi
    @JumanneShambi 8 годин тому

    😂😂😂 da Farida

  • @user-dq4ur9kk6h
    @user-dq4ur9kk6h 9 годин тому

    Miezi ya ada na mbolea tushacheka tayari Hongera sana kaka Mungu Akuinue zaidi

  • @user-sp7jp2to9m
    @user-sp7jp2to9m 11 годин тому

    Zinapatikana wap

  • @lyimosamuel7940
    @lyimosamuel7940 11 годин тому

    Fuatilia tuletee farida Niko Arusha ila farida akija dar lazima nije kwa ajili yake nampenda Farida sana

  • @abdallahalwardi588
    @abdallahalwardi588 13 годин тому

    Excellence ❤❤❤ Weka Number Ya Simu Jim India ❤

  • @user-es9ye1tj7u
    @user-es9ye1tj7u День тому

    🙏🙏🙏🙏

  • @LizzyMbegga
    @LizzyMbegga День тому

    Mimi mwenyewe nampenda farida

  • @salamasefu5494
    @salamasefu5494 День тому

    Kaka umeongea point maneno kamili .recpet

  • @salamasefu5494
    @salamasefu5494 День тому

    Kweli kbsa wamachinga wasikae karibu na wanaolipa kodi uko sahihi kbsa

  • @TOUNDISELASSIE-xj8oy
    @TOUNDISELASSIE-xj8oy День тому

    Soko liwe na mfumo mmoja tu wa kodi. Kama ni asilimia 10% basi ni kwa wafabiashara wote. Sio huyu mdogo asilimia 0 huyu mkubwa asilimia 18. Hapo udanganyifu utakua mkubwa. Mdogo akiwa mkweli atachajiwa kodi kubwa. Mkubwa akiwa mwongo atachajiwa kodi dogo. Tutoke huko twende waliko wengine kama china dubai. Na bandari ithaminiwe isiwe mali ya kina fulani tu. Wasomi tunaomba muilinde nchi. Msiwe waangamiza nchi.

  • @user-kp7bt8ur2o
    @user-kp7bt8ur2o День тому

    Jamani Kwan vita Bado haijaturoa mtagurizen mugu mbere

  • @user-nm1tb5iq5f
    @user-nm1tb5iq5f День тому

    Nampenda sana eliud

  • @vumiliarobert1880
    @vumiliarobert1880 День тому

  • @gracetemba5851
    @gracetemba5851 День тому

    Godless you boss

  • @Hussein-gx4qu
    @Hussein-gx4qu 2 дні тому

    Mnapinga ndoa. Hakunaga ndoa ya utotoni acheni upimbi

  • @rahmasaleh1984
    @rahmasaleh1984 2 дні тому

    Mtangazaji wangu wa Radio salam akiwa na Ally maingu nilikua nawapenda sana kuwasikiliza,hongera sana kwa kufika mbali 😂

  • @WilliamMukama
    @WilliamMukama 2 дні тому

    Pole na pongezi katika halakati za kumkomboa moto wa kike hapa Tanzania & Afrika, Mungu akufanyie wepesi , 🇹🇿

  • @NoelKimaro-l3i
    @NoelKimaro-l3i 2 дні тому

    Yeeea

  • @user-ji3wo3ml3l
    @user-ji3wo3ml3l 2 дні тому

    mabobwe mtamu sna

  • @jofreymwampamba1236
    @jofreymwampamba1236 2 дні тому

    Kaka Mungu akubaliki kaz yako njema

  • @basharahamtzhalisi6871
    @basharahamtzhalisi6871 2 дні тому

    Ujinga tu. Mnapinga ndoa za utotoni kisha mnaikubali zinaa. Ndiyo sababu leo mimba kwa wanafunzi zimekuwa gumzo duniani. Mtoto mdogo unakuta amevishwa mavazi yasiyo ya heshima. Sasa ina maana gani zaidi ya kuwa watwanga maji kwenye kinu. Aaagh!

  • @minzamatondo1440
    @minzamatondo1440 2 дні тому

  • @IsiraeliMolly
    @IsiraeliMolly 2 дні тому

    Morning 🌄 nakupata sana dada nikiwa kenya 🇰🇪

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 2 дні тому

    Uko vzuri eliud nimejifunza ktu kikubwa sana mungu akubariki nakufuatilia sana

  • @Rasoulhk98
    @Rasoulhk98 2 дні тому

    Kumbe stori ya Neema imeanzia mbali hivi

  • @WardaAbeid-k1e
    @WardaAbeid-k1e 2 дні тому

    😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮

  • @mhojarsaad3278
    @mhojarsaad3278 3 дні тому

    Kenya hauna habari????

  • @johnjulliusntwenya4713
    @johnjulliusntwenya4713 3 дні тому

    Nice interview brother

  • @johnjulliusntwenya4713
    @johnjulliusntwenya4713 3 дні тому

    Too smart brother eliudi

  • @awardkilave178
    @awardkilave178 3 дні тому

    Serikali yetu ya Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Ni sikivu mno itarifanyia kazi hilo

  • @dionisisarwat9478
    @dionisisarwat9478 3 дні тому

    Interview yenyewe inachekeaha😂😂😂😂

  • @DannyRichard-w1g
    @DannyRichard-w1g 3 дні тому

    Poleni Sana wakeny

  • @AbdinasirMuse-yv4ms
    @AbdinasirMuse-yv4ms 3 дні тому

    Pole sana warahiya wakenya nikocongo

  • @user-gb9zt1kx2b
    @user-gb9zt1kx2b 3 дні тому

    We love you, anganile

  • @salmangwila8062
    @salmangwila8062 3 дні тому

    ushakuwa wa viwango vingine

  • @mtangag774
    @mtangag774 3 дні тому

    😂😂😂😂huyu jamaa comedy sana

  • @johnmmbaga1506
    @johnmmbaga1506 3 дні тому

    KUTOKA JIJINI ARUSHA NCHINI TANZANIA NDUGU ZETU WAKENYA MUNGU AWASAIDIE AMANI IRUDI PIA KUWENI WATULIVU.

  • @Nanata1995
    @Nanata1995 3 дні тому

    Poleni sana wakeny

  • @BababooDominique
    @BababooDominique 3 дні тому

    Na sisi Congo drc tuna itaji amani 💪💪

  • @mwema5009
    @mwema5009 3 дні тому

    Ruto ni mwizi tena amefanana mtutsi ndo maana ana roho ngumu

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 3 дні тому

    Wasenge hawa. Wafanyakazi Sekta binafsi wanalipa kodi kubwa sana; PAYE (pay as you earn). Hawalipi kodi wanalilia tu. WAFANYABIASHARA NI WADANGANYIFU LINAPOKUJA SUALA LA ULIPAJI KODI. UKISEMA WALIPE KODI BAADA YA FAIDA, SAHAU. NEVER EVER WATALIPA HIZO KODI. KILA SIKU WATASEMA WANAPATA HASARA

  • @sirajimsuya6226
    @sirajimsuya6226 4 дні тому

    Ipo cku inshaallah😊